Uzi wa vyakula tu

Jamani tuheshimu huu uzi,kuna mtu kaweka picha ya limguu sijui la mnyama gani kwenye bakuli.
1686 hapo nyuma.
Ingawa mwenye uzi aliwahi kuweka pia tukakwaruzana hapa.
Kama we unakula vyakula vya ajabu Ajabu heshimu njaa za wenzio.
Mshaharibu appetite aarghπŸ˜–
 
Kimya kingiii, kina mshindo mwingiii....

Hayawi hayawi hatimaye mafiga yamekaa sawa jikoni na tumbo likapata dawa.

Ashukuriwe Maulana kwa kutukirimia Newma Kubwa kubwa na Ndogo ndogo.

Kwa wale ambao hawajajaaliwa ama hawajapata, wasikate tamaa, waendelee kutia bidii Inshallaha watafanikiwa.

Mja hamtupi kiumbe wake πŸ™.
 


Pichq linaanzia hapa....



Samaki salmon wa kukaanga na mambongamboga yaliyokaangwa..πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹




Mambogamboga kikaangoni....πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹



Hapo magimbi, bamia na zucchini zinachemka...πŸ˜‹πŸ˜‹



Hizi vitu ni udhaifu wangu aseeh.... Bujibuji Simba Nyamaume ila napenda niziandae mwenyewe nyumbani.... kwa binafsi hii kitu hata kitimoto inasubiri...πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹

Tuendelee....
 


Mambogamboga kama kawaida yanashabihiana na kikaango...πŸ˜‹πŸ˜‹



Grqted carrots ziliwekwa mwishoni kidhungu sijui ndo wanaitq ganish...πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… hata sijui inamaanisha nini ila ndo mbwembwe za mapishi...πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹



Sahani imesheheni tayari kwa uchakataji na kumeng'enywa...πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹



Prons walibakia kwenye sahani ikabidi niongeze mambogamboga ili nimalizie prons....πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹


Hapa magimbi ya kuchemsha, meatball na roasted ground beef, it was yummy πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹
 
Tumalizie .......



Bamia likikaangwa na vitunguu maji tangawizi imesagwa na manjano mbichi imesagwa...πŸ˜‹πŸ˜‹ for the taste of food...



Hoho na rangi zake nazo zikaingia kikaangoni....πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹



Kama kawaida ganish ya grated carrots... πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹ Acha kabisa.

Karibuni, vyote vimeandaliwa πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…