Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Jamani tuheshimu huu uzi,kuna mtu kaweka picha ya limguu sijui la mnyama gani kwenye bakuli.
1686 hapo nyuma.
Ingawa mwenye uzi aliwahi kuweka pia tukakwaruzana hapa.
Kama we unakula vyakula vya ajabu Ajabu heshimu njaa za wenzio.
Mshaharibu appetite aargh😖
 
20240514_140024.jpg


Hakyanani siku hazifanani....!!

Leo asubuhi ilikuwa bakuli la tikiti baada ya hapo ni dash hadi jioni na bado hapajaeleweka....!

Alamsiki 👋.
 
Kimya kingiii, kina mshindo mwingiii....

Hayawi hayawi hatimaye mafiga yamekaa sawa jikoni na tumbo likapata dawa.

Ashukuriwe Maulana kwa kutukirimia Newma Kubwa kubwa na Ndogo ndogo.

Kwa wale ambao hawajajaaliwa ama hawajapata, wasikate tamaa, waendelee kutia bidii Inshallaha watafanikiwa.

Mja hamtupi kiumbe wake 🙏.
 
20240515_213655.jpg


Pichq linaanzia hapa....

20240515_221955.jpg


Samaki salmon wa kukaanga na mambongamboga yaliyokaangwa..😋😋😋


20240516_215622.jpg


Mambogamboga kikaangoni....😋😋😋

20240516_215626.jpg


Hapo magimbi, bamia na zucchini zinachemka...😋😋

20240516_215636.jpg


Hizi vitu ni udhaifu wangu aseeh.... Bujibuji Simba Nyamaume ila napenda niziandae mwenyewe nyumbani.... kwa binafsi hii kitu hata kitimoto inasubiri...😋😋😋

Tuendelee....
 
20240516_215856.jpg


Mambogamboga kama kawaida yanashabihiana na kikaango...😋😋

20240516_221422.jpg


Grqted carrots ziliwekwa mwishoni kidhungu sijui ndo wanaitq ganish...😅😅😅 hata sijui inamaanisha nini ila ndo mbwembwe za mapishi...😋😋😋😋

20240516_221557.jpg


Sahani imesheheni tayari kwa uchakataji na kumeng'enywa...😋😋😋

20240516_223853.jpg


Prons walibakia kwenye sahani ikabidi niongeze mambogamboga ili nimalizie prons....😋😋😋😋

20240517_021641.jpg

Hapa magimbi ya kuchemsha, meatball na roasted ground beef, it was yummy 😋😋😋
 
Tumalizie .......

20240517_215424.jpg


Bamia likikaangwa na vitunguu maji tangawizi imesagwa na manjano mbichi imesagwa...😋😋 for the taste of food...

20240517_215755.jpg


Hoho na rangi zake nazo zikaingia kikaangoni....😋😋😋😋

20240517_220700.jpg


Kama kawaida ganish ya grated carrots... 😋😋😋😋 Acha kabisa.
20240517_220836.jpg


Karibuni, vyote vimeandaliwa 😋😋😋😋.
 
Back
Top Bottom