Uzi wa vyakula tu

View attachment 3000271
Sisi wakulima wali na vyakula vya kizungu kwetu ni appetizer..

Jokes aside, my mind ask these questions quriously.....!

Are you a content creator?

Are you a mixture of Masai and Sukuma man?...πŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺ😁

Hizo njegere zitanifanya nigonge hodi kwako bila mualiko...πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹.

Ila tuu, kwa sie wanyamwezi.... raha ya ugali uufinyange kwenye kiganja halafu uuchovye kwenye dimbwi la mboga zilizoungwa na karanga ya kusaga kwenye kibao uuweeehh....!!!!πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹

Wacha nifanye mchakato wa safari ya Tabora.... nikale mahama, karanga na asali.
Yeah, my mind think about food by 98% πŸ˜¬πŸ™„πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚.

SGR inanihusu...πŸ™ƒπŸšΆβ€β™€οΈπŸšΆβ€β™€οΈπŸšΆβ€β™€οΈ.
 
Imenibidi nicheke tu πŸ˜„πŸ‘
Hivi we mnyamwezi kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…