Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I hope ulikuwa poa tu. Ila nasikia wali ndondo ndio mzuri.
Aache huo upumbavu mara moja..Jamani tuheshimu huu uzi,kuna mtu kaweka picha ya limguu sijui la mnyama gani kwenye bakuli.
1686 hapo nyuma.
Ingawa mwenye uzi aliwahi kuweka pia tukakwaruzana hapa.
Kama we unakula vyakula vya ajabu Ajabu heshimu njaa za wenzio.
Mshaharibu appetite aargh😖
Aache huo upumbavu mara moja..
View attachment 3000271
Sisi wakulima wali na vyakula vya kizungu kwetu ni appetizer..
Imenibidi nicheke tu 😄👏Jokes aside, my mind ask these questions quriously.....!
Are you a content creator?
Are you a mixture of Masai and Sukuma man?...🤪🤪🤪😁
Hizo njegere zitanifanya nigonge hodi kwako bila mualiko...😋😋😋😋.
Ila tuu, kwa sie wanyamwezi.... raha ya ugali uufinyange kwenye kiganja halafu uuchovye kwenye dimbwi la mboga zilizoungwa na karanga ya kusaga kwenye kibao uuweeehh....!!!!😋😋😋
Wacha nifanye mchakato wa safari ya Tabora.... nikale mahama, karanga na asali.
Yeah, my mind think about food by 98% 😬🙄🙂🙂🙂.
SGR inanihusu...🙃🚶♀️🚶♀️🚶♀️.