Uzi wa vyakula tu

Watu wa jf mnakula vizuri....haya mtu alete picha anagonga maghimbi na viazi vitamu basi sio vyakula vya ulaya ulaya tuu
 
Jamba juice tena 🀣🀣🀣🀣 aisee sasa hii wale wenye mchezo wa tigo sii ndio watafurika hapo

Ni taamu hiyooo, karibu uionje πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†.
 
Watu wa jf mnakula vizuri....haya mtu alete picha anagonga maghimbi na viazi vitamu basi sio vyakula vya ulaya ulaya tuu


Maghimbi kikaangoni


Maghimbi sahanini na madikodiko mengine...



Maghimbi oniflikii....πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹ na bamia pembeni.

Hizi za kitambo nilishaziweka humu.

Kun siku nilipika maghimbi na maharage ila hayakutokea vizuri.... mwiko ulinitupa mkono....πŸ˜’



Hayo hapo...
 
Ndio bei gani juice?

Mzab mbona unafujo hivyo πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„

Bei ya serikali tuu, glass ndogo buku jero glass kubwa buku tatu πŸ˜‹.

Na mrija unapewa, ukitaka baridi ama moto zote zinapatikana.

Ukitaka unywe hapohapo au take away pia huduma unapata.
 
Keaho wikend nitakuja huko nipate juice huku najambajamba
 
Aahahahahahaaa looh πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Yaani weweee.....

Karibu sana πŸ™‚.
Unipikie pilau la kuku basi mie nitakuja na take away ya juice jamba jamba🀣🀣🀣🀣
 
Unipikie pilau la kuku basi mie nitakuja na take away ya juice jamba jamba🀣🀣🀣🀣

Hilo limeisha ntajipikilisha diko diko pilau la milenia.
Andaa nafasi tumboni tuu...πŸ˜‹πŸ˜‹.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…