Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

🔥
 

Attachments

  • IMG_5358.jpeg
    IMG_5358.jpeg
    1.5 MB · Views: 10
  • IMG_5356.jpeg
    IMG_5356.jpeg
    1.6 MB · Views: 12
Watu wa jf mnakula vizuri....haya mtu alete picha anagonga maghimbi na viazi vitamu basi sio vyakula vya ulaya ulaya tuu
 
Watu wa jf mnakula vizuri....haya mtu alete picha anagonga maghimbi na viazi vitamu basi sio vyakula vya ulaya ulaya tuu

20240514_060812.jpg

Maghimbi kikaangoni

20240516_221611.jpg

Maghimbi sahanini na madikodiko mengine...

20240517_220836.jpg


Maghimbi oniflikii....😋😋😋 na bamia pembeni.

Hizi za kitambo nilishaziweka humu.

Kun siku nilipika maghimbi na maharage ila hayakutokea vizuri.... mwiko ulinitupa mkono....😒

20240620_053654.jpg


Hayo hapo...
 
Mzab mbona unafujo hivyo 😄😄😄😄

Bei ya serikali tuu, glass ndogo buku jero glass kubwa buku tatu 😋.

Na mrija unapewa, ukitaka baridi ama moto zote zinapatikana.

Ukitaka unywe hapohapo au take away pia huduma unapata.
Keaho wikend nitakuja huko nipate juice huku najambajamba
 
Unipikie pilau la kuku basi mie nitakuja na take away ya juice jamba jamba🤣🤣🤣🤣

Hilo limeisha ntajipikilisha diko diko pilau la milenia.
Andaa nafasi tumboni tuu...😋😋.
 
Back
Top Bottom