Cereal π€¦πΎββοΈ standard breakfast, sometimes unakula hadi zinakera
Unashushia na jamba jamba juice au sio π€£π€£π€£π€£View attachment 3027569
Njaa kalii....π₯±π₯±
View attachment 3027571
Maandalizi...
Oven baked chicken drums πππ
Unashushia na jamba jamba juice au sio π€£π€£π€£π€£
Hii ni mboga gani?
Unapenda sana prawnsView attachment 3023555
Kuna rangi ya chungwa....
Halafu kuna rangi ya chenza aka mandarin ππππ..
View attachment 3023556
Njaa ilikuwa kalii...π.
Unapenda sana prawns
Sasa ahsubuhi unawahi kazini whatβs more convenient than a bowl of cereal πAhahaaaaaa...!πππ
Ukitaka ujanja usifululize kila siku....
Ukiweka interval hazikifu.
Usiwe tu mvivu wa kupika.... mfano mie si mpenzi wa maziwa wala kahawa wala chai hivyo ntazungusha vyote ila hivyo haviko kwenye menu yangu.
Sasa ahsubuhi unawahi kazini whatβs more convenient than a bowl of cereal π
Kuna kazi bila double shots of espresso haziendiπ