Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,379
- 41,294
Cereal 🤦🏾♂️ standard breakfast, sometimes unakula hadi zinakera
Ahahaaaaaa...!😁😁😁
Ukitaka ujanja usifululize kila siku....
Ukiweka interval hazikifu.
Usiwe tu mvivu wa kupika.... mfano mie si mpenzi wa maziwa wala kahawa wala chai hivyo ntazungusha vyote ila hivyo haviko kwenye menu yangu.