Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Cereal 🤦🏾‍♂️ standard breakfast, sometimes unakula hadi zinakera

Ahahaaaaaa...!😁😁😁
Ukitaka ujanja usifululize kila siku....
Ukiweka interval hazikifu.

Usiwe tu mvivu wa kupika.... mfano mie si mpenzi wa maziwa wala kahawa wala chai hivyo ntazungusha vyote ila hivyo haviko kwenye menu yangu.
 
20240629_054558.jpg

Lazy dinner....🥱🥱🥱

Eating while sleeping 😴😌...
 
Ahahaaaaaa...!😁😁😁
Ukitaka ujanja usifululize kila siku....
Ukiweka interval hazikifu.

Usiwe tu mvivu wa kupika.... mfano mie si mpenzi wa maziwa wala kahawa wala chai hivyo ntazungusha vyote ila hivyo haviko kwenye menu yangu.
Sasa ahsubuhi unawahi kazini what’s more convenient than a bowl of cereal 😌

Kuna kazi bila double shots of espresso haziendi😂
 
Back
Top Bottom