Naomba kujua mgahawa / restaurant yako iko wapi. Nipo Dar
Pics from Instagram.Naomba kujua mgahawa / restaurant yako iko wapi. Nipo Dar
Asante
Hiyo nyeupe nyeupe ni nini? Mayo au ranch dressing?View attachment 3168634
Hii inaitwa, asiye na mwana, aeleke jiweee... π.
View attachment 3168635
No diet on December, nakula halafu nakula tena π.
Ukisubiri kupikiwa...
Ukisubiri kupakuliwa....
Ukisubiri kulishwaa....
Utasubiri sanaaaa.....π€ͺ.
Mbona kama biriani?View attachment 3168631
Tangu niujulie wali wa kwenye oven, basi imekuwa nongwaaa....πππ.
View attachment 3168632
Shurti nimeudecorate na shredded carrots na tui la nazi, weeeuweee....πππ.
Hiyo Purell siyo ranch dressing π.Wee Msukuma,
Huyo mnyama gani ambaye anabonyezeka Parking and Neutral kwa wakati mmoja....!!!π€π€π€
Halafu utafsiri hiyo Purell ni nini isijekuwa unaitumia kama naniliu....ππππββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ
Wapi Choda ya Baba...!!???π
Mi ataka Choda ya Mama πππ.
Hiyo nyeupe nyeupe ni nini? Mayo au ranch dressing?
Mbona kama biriani?
Hiyo Purell siyo ranch dressing π.