mwaibile
JF-Expert Member
- Nov 16, 2022
- 727
- 2,004
Cha mchana au ndo breakfast
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cha mchana au ndo breakfast
Cha mchana au ndo breakfast
Oya nipikie mandi ya bata mzinga nakuja kula baadae hapo na juice ya embe baridiiiAahahahahaa sio matani kweli tena,
Ngoja siku ntanunua bamia nizipike nipate taswira ya kibamia mdomoni....😅😅😅.
Wacha nirejee kwenye kutupia madikodiko niliyotupia tumboni...
Oya nipikie mandi ya bata mzinga nakuja kula baadae hapo na juice ya embe baridiii
Fanya hivyo basiWee nawe, Mnyamweziii mie najua kuliangusha pilau, Mandi, biriani nehiii...
Hapo labda nitafute wapi linapikwa nikuletee 😅.
Fanya hivyo basi
Njaa inaniuma hata sielewi mida hii nafanyaje.....!!!