LuisMkinga
JF-Expert Member
- Jan 10, 2012
- 3,255
- 6,252
Lukolo, mapembelo, sisi ni ndosa imetiwa kwenye majivu ikitolewa hapo unamix na bumunda na maji au chai ya maziwa imeishaNimelia sana 😹😹
Wakinga na kupika wapi na wapi??
Umeamua kuniaibisha shemeji 🤣