Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

image.jpg
 
Sijaziona Walnut wala Macademia nut na hazel nut...
Itabidi tuahirishe huu mchuano.....😎

Aahahahhaaa nimechekaaa, sijui umewaza nini 😁😁😁.

Wacha nirudi pale dukani kwa mhindi, anipatie hizo bidhaa japo kuna nuts zinauzwa bei ghali hadi unasema zina dis-viral infectant.....!!!? 😅😅😅
Yaani ukila hizo huumwi, japo pia nafaka/nuts nyingi zina manufaa makubwa sana kwenye mwili wa binadamu.

Ntarudi kiduka cha uhindini pale nione pochi inaruhusu kupata hizo nuts...!?

Ukiona kimya ujue maji yamezidi unga 😄😄.
 
Back
Top Bottom