Wanasema wanawake tukiona mende au panya tunaogopa na kupiga kelele ila tunahimili mambo mengine makubwa ya kutisha kuliko panya na chura eehehehehe
Najua huyo wote ni kuku na hiyo ni shingo ya kuku na firigisi, ila ubongo ulishavuka kuona tetea atakuwa amepasuliwa maini na bandama.... 😁😁😁😁 kumbe kijogoo tena kishingo....😆😀😀😀
Halafu akili imewaza, kwa hii picha ukianza kuuza shingo za jogoo useme zinakuza mshenene utafanya biashsra hadi ukimbie....😁😁😁😁.
Kuna mzee mmoja aliniambia, watu wengi ni wanafiki watajifanya wamestaarabika na wakiona watu wanaongelea ngono wanasema mawazo mgando, akaniambia kama si ngono hawa watu bilioni 10 wametoka wapi huku duniani...!!??
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.