Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Nimelia sana 😹😹

Wakinga na kupika wapi na wapi??
Umeamua kuniaibisha shemeji 🤣
Lukolo, mapembelo, sisi ni ndosa imetiwa kwenye majivu ikitolewa hapo unamix na bumunda na maji au chai ya maziwa imeisha
 
Lukolo, mapembelo, sisi ni ndosa imetiwa kwenye majivu ikitolewa hapo unamix na bumunda na maji au chai ya maziwa imeisha
Mapembelo vavene kaka ndeti?

Umesahau na ka ulanzi ndio breakfast yetu 🤣😹😹😹
Umefanya nitamani kupika bumunda leo.
 
FB_IMG_1733718607607.jpg
 
Back
Top Bottom