Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba kujua mgahawa / restaurant yako iko wapi. Nipo Dar
Pics from Instagram.Naomba kujua mgahawa / restaurant yako iko wapi. Nipo Dar
Asante
Hiyo nyeupe nyeupe ni nini? Mayo au ranch dressing?View attachment 3168634
Hii inaitwa, asiye na mwana, aeleke jiweee... 😍.
View attachment 3168635
No diet on December, nakula halafu nakula tena 😉.
Ukisubiri kupikiwa...
Ukisubiri kupakuliwa....
Ukisubiri kulishwaa....
Utasubiri sanaaaa.....🤪.
Mbona kama biriani?View attachment 3168631
Tangu niujulie wali wa kwenye oven, basi imekuwa nongwaaa....😋😋😋.
View attachment 3168632
Shurti nimeudecorate na shredded carrots na tui la nazi, weeeuweee....😋😋😋.
Hiyo Purell siyo ranch dressing 🖕.Wee Msukuma,
Huyo mnyama gani ambaye anabonyezeka Parking and Neutral kwa wakati mmoja....!!!🤔🤔🤔
Halafu utafsiri hiyo Purell ni nini isijekuwa unaitumia kama naniliu....😆😆😆🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Wapi Choda ya Baba...!!???😅
Mi ataka Choda ya Mama 😋😋😋.
Hiyo nyeupe nyeupe ni nini? Mayo au ranch dressing?
Mbona kama biriani?
Hiyo Purell siyo ranch dressing 🖕.