Uzi wa vyakula tu



Buleki Fastii

Uki wa oats πŸ˜‹



Viazi vitamu, vimechemshwa kidogo halafu vikaparuzwa kwenye mafuta na kutupiwa chimvi na pilipili manga, was yummy πŸ˜‹.



Jicho la ng'ombe.... yote yaliisha. Siku ukioata hamu ya kupika na kula fanya hivyo. Kuna siku zitapita hujala wala kunywa.



Kipande cha peas na scones vilisindikiza kifungua kinywa.



Karibuni kukula huku mwafungua maboksi πŸ˜‰.
 
NimeitamaniπŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…