Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Chicken Pilau Recipe by pauline otieno.jpeg
 
IMG-20241225-WA0015.jpg

Buleki Fastii

Uki wa oats 😋

IMG-20241225-WA0019.jpg

Viazi vitamu, vimechemshwa kidogo halafu vikaparuzwa kwenye mafuta na kutupiwa chimvi na pilipili manga, was yummy 😋.

IMG-20241225-WA0018.jpg

Jicho la ng'ombe.... yote yaliisha. Siku ukioata hamu ya kupika na kula fanya hivyo. Kuna siku zitapita hujala wala kunywa.

IMG-20241225-WA0017.jpg

Kipande cha peas na scones vilisindikiza kifungua kinywa.

IMG-20241225-WA0016.jpg

Karibuni kukula huku mwafungua maboksi 😉.
 
View attachment 3185401

Buleki Fastii

Uki wa oats 😋

View attachment 3185402

Viazi vitamu, vimechemshwa kidogo halafu vikaparuzwa kwenye mafuta na kutupiwa chimvi na pilipili manga, was yummy 😋.

View attachment 3185406

Jicho la ng'ombe.... yote yaliisha. Siku ukioata hamu ya kupika na kula fanya hivyo. Kuna siku zitapita hujala wala kunywa.

View attachment 3185408

Kipande cha peas na scones vilisindikiza kifungua kinywa.

View attachment 3185409

Karibuni kukula huku mwafungua maboksi 😉.
Nimeitamani😋😋😋
 
Back
Top Bottom