Zuriel_cfc
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 4,092
- 9,063
Ni muda sasa wa mimi kutafuta mke wa kuoa ili nile vizuri...(kidding though)Shukrani kwa Mzizi mkavu kwa hili pishi leo nimejaribu kupika [emoji39] ila nimeweka stake ya kuku badala ya soseji
Tamu hatari, karibuni wapendwaView attachment 923799
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ukipata asiyejua kupika jeNi muda sasa wa mimi kutafuta mke wa kuoa ili nile vizuri...(kidding though)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ukipata asiyejua kupika je
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] UmetishaSi namrudisha kwao na mahari wanarudisha..[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23]..saa saba hii umezitoa wapi hizi chipsi dume??Chipsi dumeView attachment 924187
[emoji23][emoji23]..saa saba hii umezitoa wapi hizi chipsi dume??
Hpa mzee umetisha.Chipsi dumeView attachment 924187
[emoji2][emoji2]Kikamanda zaidiHpa mzee umetisha.
Tunakwenda kidumedume.
Vyakula vingine tunatamanishana tuu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]hasa weweShukrani kwa Mzizi mkavu kwa hili pishi leo nimejaribu kupika [emoji39] ila nimeweka stake ya kuku badala ya soseji
Tamu hatari, karibuni wapendwaView attachment 923799
[emoji14][emoji14][emoji14] Pole mwayaVyakula vingine tunatamanishana tuu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]hasa wewe
Aaaaaah........ missyrose kiazi hiko