Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

#Nanaaasi
20181117_230133.jpeg
 
Dah mrembo msosi wote huo unamaliza peke yako? Au upo na mr
Ww mwenyewe inaonekana mwanaume wa Dar, sasa hicho tuwali unatuona twingi?

Btw naona picha nyingi ni za chips yai , mleta mada badilisha heading na iwe " Uzi wa vyakula vya Dar"

Sisi wa mikoani tunakula kumaliza na sio kushiba.
 
Ww mwenyewe inaonekana mwanaume mwanaume wa Dar, sasa hicho tuwali unatuona twingi?

Btw naona picha nyingi ni za chips yai , mleta mada badilisha heading na iwe " Uzi wa vyakula vya Dar"

Sisi wa mikoani tunakula kumaliza na sio kushiba.
Duh
 
Back
Top Bottom