Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Kula chakula kama dawa.
IMG_20181118_202314_7.jpeg
 
Ww mwenyewe inaonekana mwanaume wa Dar, sasa hicho tuwali unatuona twingi?

Btw naona picha nyingi ni za chips yai , mleta mada badilisha heading na iwe " Uzi wa vyakula vya Dar"

Sisi wa mikoani tunakula kumaliza na sio kushiba.
Haha huu msemo unanifurahishaga kweli eti hatuli kushiba tunakula kumaliza
 
Back
Top Bottom