Zuriel_cfc
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 4,092
- 9,063
Ya ukwelo hyoMamaa hii ya ukweli ukweli au ya kudownload?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya ukwelo hyoMamaa hii ya ukweli ukweli au ya kudownload?
Si nimeona nanasi tu [emoji6]
Ooho! [emoji2]Umeamkaje lakiniSi nimeona nanasi tu [emoji6]
Niko poa sana jirani sijui weweOoho! [emoji2]Umeamkaje lakini
Hp bora nipite tu.View attachment 939099
Chakula cha binadamu;
Kwa wale wenzangu na mie (Mara) wanaokula ugali mwekundu sijui huwa wanapata radha ipi.
Sema neno moja tu!Hps borq nipite tu.
Hem nifundishe basi bebitoYa ukwelo hyo
Sawa ntakufundisha uaijaliHem nifundishe basi bebito
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Kitu basmati halafu naona kuna pweza hapo...aisee una balaaa..Na mchana wa leo umebahatika kua hvi.View attachment 939356
Mkuu mara moja moja muhimu.[emoji1] [emoji1] [emoji1]Kitu basmati halafu naona kuna pweza hapo...aisee una balaaa..
Mamaa habari ya jollof imenikosha
Nifundishe please
Na mim ntka kufunzwa mapishi.Okay Ma..ila sipo vizuri kwenye kuelekeza jikaze tu uelewe lol
Nimetumia mchele nusu(loweka na chumvi..inasaidia mchele kutovunjika) nyama nusu ila nlipunguza kidogo, nyanya kubwa 6 (zisage) nyanya ya pakti 1,kitunguu thomu kimoja cha size, curry powder kijiko cha kulia kimoja, pilipili manga kijiko cha chai, vitunguu maji viwili size au waeza tumia 1 kikubwa, tangawizi na chumvi kiasi na mafuta ya kupikia.
Bandika nyama kwangulia tangawizi ya kutosha eka na chumvi ikiiva weka pembeni ila hakikisha supu imebaki ya kutosha..
Kwenye sufuria nyingine kaanga kitunguu maji, kikianza wiva weka nyanya ya pakti koroga for few minutes then mimina zile nyanya za ulizosaga..koroga kidogo then utaweka viungo vilivyobaki. Binafsi viungo(thomu curry powder na pilipili manga) napenda kuweka baada ya nyanya harufu itokee vizuri ila unaeza weka baada ya vitunguu pale.
Utaacha nyanya ziive kabisa zijitenge na mafuta, mimina supu yako ya nyama..then mimina mchele uliolowekwa onja chumvi kama ndogo ongeza. Pika kidogo mimina nyama..acha uive kuwa makini usiungue nyanya ya pakti ina tabia ya kushika kwenye sufuria.
NB..kuna viungo sikutumia kwa vile sikuwa navyo na ni optional kama Bay leaves na maggy cubes kama unavyo unaweza tumia kuongeza ladha.
Hope that helps. [emoji14]
Ha ha nimependa gia yako ya kuingiaNa mim ntka kufunzwa mapishi.