Uzi wa vyakula tu

Lost ni kupotea nadhani ulitaka kusema roast... BTW iko vizuri

Tena hapo wabongo wanapotea mara mbili, namna ya kuiandika na kitu chenyewe. Japo ishakibalika miongoni mwa wabongo kwa hicho wanachomaanisha, lakini, kwa asili neno lilipotoka, ROAST ni kubanika.Hivyo, mwiingereza akija hapa akisoma menu ya Kiswazi, ataingia chaka.Kuku roast analetewa kuku katika hali ya mchuzi/sauce na madikodiko. Sijui nani aliyepotosha hivi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…