Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Chakula ya Jioni
IMG_20181122_182234.jpg
 
Jamani kaa hamtojali wanajukwa nijuzeni jinsi ya kupika chips mayai nzuri tamu nmemfungulia sehemu ya kujishikiza mdogo wangu pale alipokuna ushindani mkubwa pia ni sehemu iliyochangamka sana sasa nataka awe wa kitofauti pia mkinisaidia hata kwa viungo vyake tu nitashukuru kumrejeshea habari nzuri ya kutoka kwa chama langu jf
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie nipo home kwetu
Tambi nikiziona nazitamani
Ila kuzila mmmh labda ziwe na nyama
Mzee tambi haziliwi kwa kijiko
Ni vema ukatumia vijiti au uma
Tawire mganga.!
uzi umedoda leo hamjala kwani/kupika??
Duu imepotea njia naona
"Eroooo hii ni masiwaaa ama ni nini??"
 
Jamani kaa hamtojali wanajukwa nijuzeni jinsi ya kupika chips mayai nzuri tamu nmemfungulia sehemu ya kujishikiza mdogo wangu pale alipokuna ushindani mkubwa pia ni sehemu iliyochangamka sana sasa nataka awe wa kitofauti pia mkinisaidia hata kwa viungo vyake tu nitashukuru kumrejeshea habari nzuri ya kutoka kwa chama langu jf
Chips tamu unapika hivi
Unakata viazi vikubwa kiasi. Unapaka food colour ,chumvi Na pilipili ya Unga kidogo
Then unapaka Mafuta weka kwa oven
 
Jamani kaa hamtojali wanajukwa nijuzeni jinsi ya kupika chips mayai nzuri tamu nmemfungulia sehemu ya kujishikiza mdogo wangu pale alipokuna ushindani mkubwa pia ni sehemu iliyochangamka sana sasa nataka awe wa kitofauti pia mkinisaidia hata kwa viungo vyake tu nitashukuru kumrejeshea habari nzuri ya kutoka kwa chama langu jf

Kwanza akizimenya na kukatakata. Aloweke kwenye maji yenye chumvi

Pia anaweza kuweka ule mchanganyiko wa spring onions,karoti,bell peppers na coriander " kwenye yai
 
Back
Top Bottom