Uzi wa vyakula tu

Tamu..kuna wengine huwa hawaoshi basi inakuwaga nzitoooo unaiskia kabisa ile ladha hadi unasinzia kwa utamu..

Weekend umeanza mapema uwi..
Tamu sana. Supu ya nyama sijui kuku au samaki siwezagi nakunywaga basi tuu. Ila utumbo ukute wamemix na nyama ya mbuzi weeeeeeee lazima ujirambe.
 
Tamu..kuna wengine huwa hawaoshi basi inakuwaga nzitoooo unaiskia kabisa ile ladha hadi unasinzia kwa utamu..

Weekend umeanza mapema uwi..

Hawauoshi huo utumbo?

Sasa wasipouosha si utakuwa na mavi mavi au?

Au hayo mavi mavi ndo yanafanya supu iwe nzito na tamu?

Hahahaa aisee!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…