Uzi wa vyakula tu

Nielekeze basi ma mdogo
Ukishaikata tayar unaosha kisha unaandaa sufuria yako, weka mafuta kidogo, yakishapata moto unaweka kitunguu, karoti na hoho (zilizokatwakatwa) ukipenda unaweka na thoum kidogo.

Kisha unakoroga koroga vikianza kuiva unaweka tomato paste kidogo (kama unapenda lkn na pia unaweka kulingana na wingi wa kabichi yako) unakoroga kwa dk tatu then unaweka kabichi yako na chumvi na pilipili kama unapenda. Unakoroga ili vichanganyike then utafunika kwa dk 5 -10 ili iive. Baada ya hapo unaipua tayar kwa kula.
 
Najua basi my dear, mie nimeiokota mahali huko ikanitoa udenda nikasema nipost hapa tutoke udenda wote [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji126][emoji126][emoji126]
Iko Mbezi beach dearest. Pembeni ya sheli ya GBP sijui Oilcom Ile. Ila kama unatokea roundabout ya Kawe ukishavuka Ile junction ya rainbow kama unelekea mbezi Ile sheli inayofuata pembeni yake
 
Najua basi my dear, mie nimeiokota mahali huko ikanitoa udenda nikasema nipost hapa tutoke udenda wote [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji126][emoji126][emoji126]
Hahahahahaa. Mimi mwenyewe sijawahi kwenda kula ila walaji wenzangu wameshanipa taarifa. Napapitaga tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…