Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Tukaribie.
IMG_20181227_141526.jpeg
 
Hivi msukuma wewe huwa unakula ugali?

Sent using Jamii Forums mobile app

Ahahahahaaaaa!

Ahsante sana kwa kuuliza. Naona kuna kitu kimekufanya labda uhisi kuwa mimi si mpenzi wa ugali.

Kiukweli, mimi si mpenzi kabisa wa ugali.

Kwangu sipikagi kabisa. Na siwezi kwenda sehemu eti nikanunua ugali.

Mara moja moja huwa nakula. Ila huwa nafanya hivyo nikiwa kwa watu.

Lakini hata kula yenyewe ni matonge mawili matatu tu ya kuzugia, basi.
 
Bata Point wamefanyaje mkubwa??

Sent using Jamii Forums mobile app

Wasseenge wamenikera sana!

Umeona wapi unabusbiri msosi masaa mawili...halafu watu waliokukuta wanaletewa msosi wao, wanakula na kumaliza, halafu wewe wa kwako bado hauji.

Mbaya zaidi, hao watu wengine wanaoletewa msosi wao, ndo huo huo ambao nawe umeagiza!!!

Ina maana wanafaulisha oda?

Kumnnna zao hao Bata Point.

Fcuk em yesterday, fcuk em today, fcuk em forever.
 
Mungu wangu jana leo mpaka milele kila siku tusi limeshasetiwa automatically

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom