Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Aisee nimechukia mdogo wangu.

Ujue nilikuwa nimeipania sana hiyo menu yao hadi staftahi sikula.

Only kwenda na kugandishwa zaidi ya masaa mawili....

Pole sana.

Ukiachia customer services,unaonaje vyakula vyao?
 
Pole sana.

Ukiachia customer services,unaonaje vyakula vyao?

Nilikasirika nikaondoka.

Hivyo sikupata fursa ya kula.

Ila kwa muonekano, vyakula vyao vinaonekana ni vizuri/ vitamu!

Wakijirekebisha kwenye customer service, nadhani wanaweza kufanya vizuri mno.
 
858542c0639b3a588fdc6eabefa29b15.jpg


Mkwe THOMAS SANKARA
 
Back
Top Bottom