Sambusa ulinunua sh.30. Kumbe Farkhina Mkubwa kiasi. Nilikuwa najua wewe kama miaka 22 ikizidi 25!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaaa..
Hahaaaa..
Siongezi namba ati!
Halafu na Mimi nataka kuwa Mkweo, Thomass Sankara mkorofi sana bora miye!
Kwa maakuli haya kila Mwezi natia timu kwa Mama Mkwe kula vinono
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke wa Dar [emoji23]
AhahaaaahhNilivokua primary kuna bibi alikua anauza ndogo ndogo lakini tamu bei nshasahau,sambusa za nyama ilikua sh 30 mkate wa ufuta sh 150 na juice ya ukwaju chupa ndogo sh 50 kubwa 100.
Mwalimu wetu wa darasa alikua anauza vileja vitamu sh 20 huwa mie ndie muuzaji wake vikibaki tunakopeshwa [emoji23][emoji23][emoji23],unakopa vya sh 100 wakati hela yenyewe nyumbani unapewa sh 150 siku ya kulipa unajuta [emoji853] Na vileja ushakula [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Alafu sh 50 ilobaki unanunua mihogo ya sh 40 na lai (ice cream ) sh 10 .
Tumetoka mbali sana [emoji1431]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii combination huwa nlikuwa naipenda tangu nyumban kwa bi mkubwa.
Unaona nafaidi eeeeeee[emoji16][emoji16][emoji16]Hahaaaa..
Siongezi namba ati!
Halafu na Mimi nataka kuwa Mkweo, Thomass Sankara mkorofi sana bora miye!
Kwa maakuli haya kila Mwezi natia timu kwa Mama Mkwe kula vinono
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkwe hizi n propaganda za hawa wabara wenzangu hawanitakii mema.Hahahaha alafu amesema wewe ni mkorofi sana inabidi mkwe nithibitishe hili wacha niweke senti kwenye kibubu ni hire private investigator.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ulisoma shule gani?
Hivi ulisoma shule gani?
"ᴬ ᵍᵒᵒᵈ ᵖˡᵃⁿ ᵛⁱᵒˡᵉⁿᵗˡʸ ᵉˣᵉᶜᵘᵗᵉᵈ ⁿᵒʷ ⁱˢ ᵇᵉᵗᵗᵉʳ ᵗʰᵃⁿ ᵃ ᵖᵉʳᶠᵉᶜᵗ ᵖˡᵃⁿ ᵉˣᵉᶜᵘᵗᵉᵈ ⁿᵉˣᵗ ʷᵉᵉᵏ"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sambusa ulinunua sh.30. Kumbe Farkhina Mkubwa kiasi. Nilikuwa najua wewe kama miaka 22 ikizidi 25!!
Sent using Jamii Forums mobile app