Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

.
IMG-20190118-WA0004.jpeg
 
Nilivokua primary kuna bibi alikua anauza ndogo ndogo lakini tamu bei nshasahau,sambusa za nyama ilikua sh 30 mkate wa ufuta sh 150 na juice ya ukwaju chupa ndogo sh 50 kubwa 100.

Mwalimu wetu wa darasa alikua anauza vileja vitamu sh 20 huwa mie ndie muuzaji wake vikibaki tunakopeshwa [emoji23][emoji23][emoji23],unakopa vya sh 100 wakati hela yenyewe nyumbani unapewa sh 150 siku ya kulipa unajuta [emoji853] Na vileja ushakula [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Alafu sh 50 ilobaki unanunua mihogo ya sh 40 na lai (ice cream ) sh 10 .

Tumetoka mbali sana [emoji1431]


Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahaaaahh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha alafu amesema wewe ni mkorofi sana inabidi mkwe nithibitishe hili wacha niweke senti kwenye kibubu ni hire private investigator.


Sent using Jamii Forums mobile app
Mkwe hizi n propaganda za hawa wabara wenzangu hawanitakii mema.

Na yeye si aende mitaa ya darajani au maisara akatafute mkwe wake[emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom