Clueless14
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 3,108
- 4,751
Hizo bacon tu.....
Aiseeeeee..! Basi tu, siku hizi sili nyama.No, ham, broccoli with cheese na red bell peppers
Pamoja ya kuwa sijui Kupika.
Zinatamanisha
KANDE hiyo sijui ya CHUMVI!Kitu ya mahindi ya kukobolewa....
Ndizi MZUZU
Kweli TOASTER ile kwa pembeni.Hizi tost hizooooo......!!
MUHOGO una Unga sana.
Mshana JrNitalipika mwenyewe leo... Likishaiva nitaweka picha yake hapa... Na nitawakaribishaView attachment 1008707
Jr[emoji769]
Ugonjwa wangu.
Utumbo.
Hahaha, hatari tupu: Nimeziona hizo nikakumbuka mbaliii sanaaaa.Kweli TOASTER ile kwa pembeni.
Nilkuwa sijastukia.
Nilijua zile za kinyumbani za kupakaza Mayai kwenye slice ya Mkate kisha unachovya kwenye kikaango cha moto chenye Mafuta kwa mbali
CHAPATI inatamanisha sana
CHAPATI kwa FIGO.
Mzee kwenye hii idara hauko nyuma sana.[emoji486][emoji493][emoji478]View attachment 1001698
Hahaha huo mkono wangu mwenyewe chief. Siku hizi mimi ni mpenzi mtizamaji zaidi lakini [emoji23][emoji23]Mzee kwenye hii idara hauko nyuma sana.
Mambo ya BIRIYANI ya NG'OMBE.
Mkuu recipes za Spaghetti Bolognese kama ukipata muda..!
Aiseee!..Kula bwana ni haki yako.Hahaha huo mkono wangu mwenyewe chief. Siku hizi mimi ni mpenzi mtizamaji zaidi lakini [emoji23][emoji23]