Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

55ad5fbd3dd1cb5723d48fd2fa0e2d4e.jpg



Sent using Jamii Forums mobile app
CHAPATI ya MAJI hiyo.

Jamani
 
Kweli TOASTER ile kwa pembeni.

Nilkuwa sijastukia.

Nilijua zile za kinyumbani za kupakaza Mayai kwenye slice ya Mkate kisha unachovya kwenye kikaango cha moto chenye Mafuta kwa mbali
Hahaha, hatari tupu: Nimeziona hizo nikakumbuka mbaliii sanaaaa.
 
Back
Top Bottom