Uzi wa vyakula tu


Hamkoweka unga au bread crumbs kabla ya kuweka mayai?

Vipi hali yake mama hajambo?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamkoweka unga au bread crumbs kabla ya kuweka mayai?

Vipi hali yake mama hajambo?


Sent using Jamii Forums mobile app
Swadaktaa, wala hujakosea.

Nilisahau kutaja Unga, ndio tuliweka Unga.

MAMA ndie aliekuwa anafanya michanganyiko yote, mimi nilikuwa nafuata maelekezo.

MAMA ni mzima wa AFYA hajambo, nashukuru sana kwa kumjulia Hali MAMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…