THOMASS SANKARA
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 2,055
- 4,695
Swafi kabisa shukrani mkuu
Maji tuSodataa unashushia na juice
God is a God of hearts
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Maandalizi ya lunch karibuni nyote
Mkwe farkhina View attachment 1018874View attachment 1018875
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeelekezwa na mkwe wangu farkhina kwani kuna suali la nyongeza?
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee wengine tunachemsha chai wew unapika chai .. inaonekana itakua tamu balaa hapo naasume nina sambusa zangu za nyama kama sita hivi pembeni
Picha ya mwisho nahisi haikupaswa kuwa hapa..so unaweza kuifuta mkuuUsiku na Asubuhi View attachment 1019019View attachment 1019024