Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Karibu sana toxic9 chakula tayari jamvini
IMG_20190210_145740.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee wengine tunachemsha chai wew unapika chai .. inaonekana itakua tamu balaa hapo naasume nina sambusa zangu za nyama kama sita hivi pembeni

Ni tamu balaa ila kuna mtu kasema anaiogopa kwa ulimi Na koo 🤣🤣🤣🤣.

Ila mkwe wangu THOMASS SANKARA anaijua habar yake hii chai.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom