Uzi wa vyakula tu

Unapikaje hii jaman inaonesha yummy yummy

Sent using Jamii Forums mobile app

Nimesaga siagi Na mayai then nimeweka unga Na baking powder,for hio layer ya chini ya keki.

Layer ya nyama nimechemsha nyama ya kusaga Na spices Na nimepara Carrot wakati nimeshazima moto. Nimesubiri ipoe nimeweka mayai mabichi.

Nimeweka layer ya cake katika trey juu yake layer ya nyama then juu nimeweka hohoo Na mayai mabichi tena alafu nimechoma kwenye oven.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…