Uzi wa vyakula tu

Juma22livu
#ChainachipsidumeView attachment 974990
dingimtoto Kiongozi.

Mimi na wewe tunaweza kuishi Nyumba moja na tusigombane.

Maana Vyakula vyako ndivyo ninavyovipenda mimi.

Kwanza SAMAKI huniambii kitu, huwa sichoki wala kukinai SAMAKI.

MIHOGO, iwe ya kuchemsha, ya kukaanga, ya kuchoma, ya kuunga na NAZI, au mapishi yoyote yale ya MIHOGO kwangu wala sina ubaguzi.

Muhimu MIHOGO iwe ya kuiva (laini na yenye Unga), sio ile CHELEMA
 
Mie hata sijui vinashikwaje [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi najionea KERO na UZIA fulani.

Shika UMA mkono wa kushoto, na KISU shika mkono wa kulia, mazoea hayo sina kwa kweli.

Mimi ni mtoto wa USWAHILINI, hayo mambo ya UZUNGU na mimi wapi na wapi!

Ingawa kuna maeneo mazingira yanakulazimisha, lakini hapana kwangu naona kama naigiza FILAMU.

Nikiwa kwenye MIGAHAWA ya waMALAYSIA, au jamii ya watu wa CHINA, JAPAN kwa mfano, huwa najaribu kula kwa VIJITI.

Usumbufu unaanza kwenye namna ya kushika VIJITI kabla ya kuanza kula πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…