HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,563
- 48,223
Nina hamu sana ya MAKALIMATINzuri
View attachment 974265leo kwa Mara ya kwanza nimepika kalmat
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina hamu sana ya MAKALIMATINzuri
View attachment 974265leo kwa Mara ya kwanza nimepika kalmat
VIAZI VITAMU
MOYO wa KUKU na FIRIGISI zake.
MOYO wa KUKU na FIRIGISI zake.
SUPU inavutia sana
Hiyo SAUCE itakuwa kali sana.
dingimtoto Kiongozi.Juma22livu
#ChainachipsidumeView attachment 974990
Umenifurahisha sana.
Umenifurahisha sana.
Hata mimi wakiniwekea MAUMA yao na VISU, huwa natafuta au kuomba MAJI, kisha nakula kwa MKONO.
Hayo mambo ya kula kwa UMA na VISU siyawezi
UGALI, SAMAKI wa kuungwa kwa NAZI, na MBOGA ya MAJANI kwa pembeni.
Mimi najionea KERO na UZIA fulani.
MISHIKAKI, KATLESI, na KABABU.