Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bei gani? NahitajiMshana Jr hio Ni home made natural remedie..nine chukua apple Moja,ndani Kuna ginger,malimao matatu na vitunguu swaumu af hio chupa ilikuwa na asali kwa mbali..all this for cleaning utumbo..ingawa kwenye cure garlic na honey hawakuandika ila nimeongezea tu..nitoe masumu na matakataka yote Ni flush na k vant yote system ianze upyaView attachment 1051949
Hio mixture nimetengeneza mwenyewe ila Kama unachohitaji Ni asali ninayo kutokea singida Lita moja 15000 ila kwa kuwa Ni wewe nitakuuzia 14000Bei gani? Nahitaji
Jr[emoji769]
Mi napenda pilau aisee, nikihisi ile harufu yake mie hoiiiiiiiiHamna kitu nachopenda duniani Kama ubwabwa
Nataka hiyo ya 5000Hio mixture nimetengeneza mwenyewe ila Kama unachohitaji Ni asali ninayo kutokea singida Lita moja 15000 ila kwa kuwa Ni wewe nitakuuzia 14000
Kipo kipimo kingine kwenye kopo >ml 300 yenyewe 5000
Hapo jamaa alikua anajiandaa na mechi nzito
Kama sio kanda ya ziwa itakua kanda ya kati
Kwa hisani ya upendo Kutoka kwa rafiki yangu fulani mtu wa Mungu sanaView attachment 1052467
Usihofu mkwe wangu, naandaa na mkeka kabsa[emoji3]Mkwe tunakuja Na ndizi Na halua wewe andaa maji ya kahawa tukishakushiba ubwabwa tunaanza mambo yetu[emoji23][emoji23][emoji23] tutakula sukari mpaka sisimizi waogope [emoji13]
Sent using Jamii Forums mobile app