Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

.
IMG_20190324_195240.jpeg


Jr[emoji769]
 
Kama hujaoa mwanamke utakayemuoa atapata shida sana kama hajui kupika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
Na kwa vile sitaki apate taabu, na kwa kulijua hilo
Ndio maana posa ipo njiani kuelekea unguja kwa mkwe wangu farkhina
Nachukua jiko la mtoto wa fundi.

"mtoto wa fundi, nae fundi atiii"
Ushanifahamu......??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom