Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kitu sato [emoji39]
Best chemistry ya mboga haijakaa vema... Hazina ushirikiano [emoji23][emoji23][emoji23]Mchana mwemaView attachment 1054493
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] huo ni mchanyatoBest chemistry ya mboga haijakaa vema... Hazina ushirikiano [emoji23][emoji23][emoji23]
Jr[emoji769]
U hali gani jiraniJirani nakusalim [emoji137]
nokia obama
Bukheri Wa afya, za huko uliko ?U hali gani jirani
Na kwa vile sitaki apate taabu, na kwa kulijua hiloKama hujaoa mwanamke utakayemuoa atapata shida sana kama hajui kupika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jr[emoji769]
Na kwa vile sitaki apate taabu, na kwa kulijua hilo
Ndio maana posa ipo njiani kuelekea unguja kwa mkwe wangu farkhina
Nachukua jiko la mtoto wa fundi.
"mtoto wa fundi, nae fundi atiii"
Ushanifahamu......??
Sent using Jamii Forums mobile app