Uzi wa vyakula tu

Mshana Jr hio Ni home made natural remedie..nine chukua apple Moja,ndani Kuna ginger,malimao matatu na vitunguu swaumu af hio chupa ilikuwa na asali kwa mbali..all this for cleaning utumbo..ingawa kwenye cure garlic na honey hawakuandika ila nimeongezea tu..nitoe masumu na matakataka yote Ni flush na k vant yote system ianze upya
 
Bei gani? Nahitaji

Jr[emoji769]
 
Bei gani? Nahitaji

Jr[emoji769]
Hio mixture nimetengeneza mwenyewe ila Kama unachohitaji Ni asali ninayo kutokea singida Lita moja 15000 ila kwa kuwa Ni wewe nitakuuzia 14000
Kipo kipimo kingine kwenye kopo >ml 300 yenyewe 5000
 
Hio mixture nimetengeneza mwenyewe ila Kama unachohitaji Ni asali ninayo kutokea singida Lita moja 15000 ila kwa kuwa Ni wewe nitakuuzia 14000
Kipo kipimo kingine kwenye kopo >ml 300 yenyewe 5000
Nataka hiyo ya 5000

Jr[emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…