ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Mie mzima ksbisa jirani, nimekumbuka nyumbani tuBukheri Wa afya, za huko uliko ?
sent using samsung s8
Aisee! Rudi jamanMie mzima ksbisa jirani, nimekumbuka nyumbani tu
Yap bado nipo huku, ila pasaka nitakuwa kwa makonda hopefullyAisee! Rudi jaman
Bado upo huko zenj?
sent using samsung s8
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji123][emoji123][emoji123][emoji120]Na kwa vile sitaki apate taabu, na kwa kulijua hilo
Ndio maana posa ipo njiani kuelekea unguja kwa mkwe wangu farkhina
Nachukua jiko la mtoto wa fundi.
"mtoto wa fundi, nae fundi atiii"
Ushanifahamu......??
Sent using Jamii Forums mobile app
Msisitizo wakuonyesha how seriuz i'm[emoji23]Mkwe hiyo ushanifahamu nimepaliwa kwa kucheka [emoji1787][emoji1787][emoji1787],ni msisitizo ama ni nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yap bado nipo huku, ila pasaka nitakuwa kwa makonda hopefully
Ulisema zawadi gani vile nikumbusheOoh! Karibu sana nasisitiza usisahau zawadi yangu
sent using samsung s8
Nitakujuza inbox nisije mwaka mchele hapaUlisema zawadi gani vile nikumbushe
Kitu bariiiiiiiiiiiiiiiid[emoji108]
Mkwe wangu farkhina karibuView attachment 1057617
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitakujuza inbox nisije mwaka mchele hapa
sent using samsung s8
Mkwe sikuweka na sikuwa na ujuzi huo.