Bado lunch hapo.
Na bado juice ya kwenda nayo ofisini na maji makubwa ya Kilimanjaro.[emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado lunch hapo.
Bado korosho zinazozagaa zagaa ovyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bado lunch hapo.
Na bado juice ya kwenda nayo ofisini na maji makubwa ya Kilimanjaro.[emoji23][emoji23]
Tuliosomaga nutrition tunasema "this is the waste of food resourses"[emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1146140
Mchana mwema viongozi
Nimeshikwa njaa kali ghafra and ts not noon yet
Sasa hivi mnabembelezewa kuzinunua eti?Bado korosho zinazozagaa zagaa ovyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Muda mzuri wa kuja huku ni muda wa kula[emoji23][emoji23][emoji23]Nimeshikwa njaa kali ghafra and ts not noon yet
Wenye matatizo ya apetite humu panawahusu.[emoji3][emoji3][emoji3]Muda mzuri wa kuja huku ni muda wa kula[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa hivi mnabembelezewa kuzinunua eti?
Na kitu pekee wa TZ hawakifanyii mchezo ni kitu kikisemekana kinaongeza nguvu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Noma sana...
Mimi namfuata the then minister wa ile ministry kuwa kibaiyolojia zinatubeba sana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1482][emoji1482][emoji1482][emoji1482]Na kitu pekee wa TZ hawakifanyii mchezo ni kitu kikisemekana kinaongeza nguvu[emoji23][emoji23]
savory[emoji39][emoji39]
Tuliosomaga nutrition tunasema "this is the waste of food resourses"[emoji16][emoji16][emoji16]
cute b wapi hii?Vipi hapa nakujaza nini?View attachment 1143872
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji41][emoji39]
Asee uyo samaki kiafya alitakiwa aliwe zaidi ya siku 3, unless kama anayemla hapo ni john cena[emoji3][emoji3]. Mwili utachukua just a fraction of that protein, kiasi kikubwa ataenda kukikojoa chooni[emoji52].Kulikua kuwe na kaugali pembeni nini?
Asee uyo samaki kiafya alitakiwa aliwe zaidi ya siku 3, unless kama anayemla hapo ni john cena[emoji3][emoji3]. Mwili utachukua just a fraction of that protein, kiasi kikubwa ataenda kukikojoa chooni[emoji52].
Angeweka kipande kidogo cha samaki, mbogamboga ndio zingejaa hapo.