Nilikuona sema niliogopa kupayuka kukuita[emoji23][emoji23]Nashushia na tende[emoji851]
Inamaana tulipisha... Coming days just give me signals, usipite kimya kimya ivyoo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikuona sema niliogopa kupayuka kukuita[emoji23][emoji23]Nashushia na tende[emoji851]
Inamaana tulipisha... Coming days just give me signals, usipite kimya kimya ivyoo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilikuona sema niliogopa kupayuka kukuita[emoji23][emoji23]
Hizi baga huwa zinanipa shida sana kupanua mdomo kula,au zinaliwaje au we we unakulaje
Naona umeichunia pm yangu jirani....Hii juice imetibua tumbo langu
Kwanini mkuu? Haupendi nanasi na pasion?Hii juice imetibua tumbo langu
Unaikamata kama ilivyo unaiminyaaa itakuwa pana lakini unene utapungua. Halafu unaikula.Hizi baga huwa zinanipa shida sana kupanua mdomo kula,au zinaliwaje au we we unakulaje
Hahahha last line tho[emoji13][emoji13]Unaikamata kama ilivyo unaiminyaaa itakuwa pana lakini unene utapungua. Halafu unaikula.
Ila nikiwa nyumbani naila kwa stail yoyote.
Nyumbani hainaga kurembaaHahahha last line tho[emoji13][emoji13]
Uwiiii, naombaaBreaking the fast in reddish vs pinkish wayView attachment 1150958
Damn it..Breaking the fast in reddish vs pinkish wayView attachment 1150958
Karibu chiefDamn it..
Nishakuwekea 1 piece[emoji13][emoji13]Uwiiii, naombaa
Naomba niseme... I know youuu[emoji13][emoji13][emoji13]Nyumbani hainaga kurembaa
Naona umeichunia pm yangu jirani....
Haya niko mjini
Hapana nilikua na njaa sasa ikazidi maradufuKwanini mkuu? Haupendi nanasi na pasion?
Juice inavutia sana machoni,vipi ukiitumia haileti mkorogano tumboni...?
Moja tuu? Umesahau nakula kama mchwa?Nishakuwekea 1 piece[emoji13][emoji13]
😂😂😂maana hata mambo ya uma sijui visu sijui vijiko siwezagi kabisa.Naomba niseme... I know youuu[emoji13][emoji13][emoji13]