Uzi wa vyakula tu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Noma sana...
Mimi namfuata the then minister wa ile ministry kuwa kibaiyolojia zinatubeba sana.
Na kitu pekee wa TZ hawakifanyii mchezo ni kitu kikisemekana kinaongeza nguvu[emoji23][emoji23]
 
Na kitu pekee wa TZ hawakifanyii mchezo ni kitu kikisemekana kinaongeza nguvu[emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1482][emoji1482][emoji1482][emoji1482]
 
Kulikua kuwe na kaugali pembeni nini?
Asee uyo samaki kiafya alitakiwa aliwe zaidi ya siku 3, unless kama anayemla hapo ni john cena[emoji3][emoji3]. Mwili utachukua just a fraction of that protein, kiasi kikubwa ataenda kukikojoa chooni[emoji52].
Angeweka kipande kidogo cha samaki, mbogamboga ndio zingejaa hapo.
 

Au angetugaia sie na sie tungepata izo nutrients 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…