Uzi wa vyakula tu

Hizi baga huwa zinanipa shida sana kupanua mdomo kula,au zinaliwaje au we we unakulaje
Unaikamata kama ilivyo unaiminyaaa itakuwa pana lakini unene utapungua. Halafu unaikula.
Ila nikiwa nyumbani naila kwa stail yoyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…