Uzi wa vyakula tu

Hivi hizi ni chapati za kusukuma? Naona kama za maji Mara za kusukuma hata sielewi.
Raha ya chai na chapati ni unashinda siku nzima umelegea.[emoji23][emoji23]
Ukimaanisha[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…