Mboga saba sio??
ningekua napiga matonge makubwa makubwa...namulika penye kipande cha soseji tu ndo naenda kupafinya
[emoji3][emoji3]ningekua napiga matonge makubwa makubwa...namulika penye kipande cha soseji tu ndo naenda kupafinya
muda wa kula wageni wanajitiaga TV imenoga..yani hawaangaliii mezani kabisa hata siku moja
Nyumbani kwako kuna member chikondiiiii kwelii?? sidhani Humo kilo zinaanzia 70+ nahisi
Marhaba[emoji39][emoji39][emoji39]
[emoji1787][emoji1787] usiumieEndeleeni kufake maisha heheee mnaenda google insta na fb mnacopy picha mnaleta humu ni wachache sana hapa wanapost real wengi mnafake
I'm a great chef,naomba tenda niwe nakuletea lunch au supper
We ndo maana unazidi kunenepa mashavu[emoji39][emoji39]View attachment 1171434
Kwani kuna tatizo gani? mpaka uumie kiasi icho na maisha ya watu ambao huwajuiEndeleeni kufake maisha heheee mnaenda google insta na fb mnacopy picha mnaleta humu ni wachache sana hapa wanapost real wengi mnafake