Uzi wa vyakula tu

Wali kwa maharage na kachumbari ya papa mkavu [emoji91] .
 
View attachment 1225412

Na MCHELE nao umetulia, umenyooka.

Ghafla nimeutamani huu WALI na MAHARAGE

Me binafsi wali wa kula na maharage sipendi kutumia mchele wa kunyooka napenda mengine kama mbeya au ya kunukia,mchele wa kunyooka kwenye pilau biryaan mandi n.k tena nataka uchambuke niuone mmoja mmoja.
 
Habari yako man!

Mzee hizo kuna shemeji yako ni barista ndo anatengenezaga. Kukupa contacts itakua ngumu mnooo [emoji23][emoji41]. Mimi mtumiaji tu, waweza cheki tutorials youtube si ngumu hata.View attachment 1225382

Mkuu [emoji23][emoji23] umenichekesha sana kwamba Contact hapana, sisi wengine hatuna mambo ya kijinga tunafata yaliyo tupeleka na kama ni darasa anafundisha analipwa anaheshimiwa kama mwalimu tukimaliza kila mtu anachukua njia yake
 
[emoji23] si unajua mjini hapa "abiria chunga mzigo wako". Hata hivyo sasa hivi yupo mbali kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…